Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Kampeni zimeanza rasmi leo Novemba 20, 2024, mambo yatakuwa moto huko mtaani kila chama kujinadi ili wajihakikishie ushindi mnono.
Je, yapi matarajio yako kwa wagombea katika uchaguzi huu? Unadhani CCM watatoboa tena ushindi wa 99.9% kama ilivyokuwa 2019? Baada ya enguliwa nyingi kwa wapinzani, unadhani wapinzani wataweza kuwatikisa CCM?
Kupata taarifa za kila mkoa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ingia hapa: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Tar 27 mjitokeze kupiga kura, sio kulalamika tu afu muda wa kuchagua ukifika aaaah!