Kampeni: Watanzania tununue jezi za Taifa Stars kwa wingi kutoka Sandaland

Taifa stars ni kichwa Cha mwenda wazimu 😭😭😭😭 rest in peace mzee mwinyi
Badala ya kuweka nguvu kuishangilia na kuipa moyo timu ya Taifa, Bashite anasambaratisha umoja wetu sababu ya masilahi kwenye jezi
 
Jezi
 

Attachments

  • file_00000000b8ac820eb8b6b0eec98c6433.png
    2.1 MB · Views: 8
Kwa kweli.
 
Tifa stars inataka kugomea mechi sababu haina pesa, nyie mpo busy kugombea tenda ya jezi...


Cc: Mahondaw
 
Ziwekee maelezo basi
Na Mimi nimebuni zangu nitaingiza sokoni ila siweki nembo ya TFF Wala ya Timu ya Taifa. Nim tumia neno Tanzania ambayo ni haki ya Kila Mtanzania . Halafu nione mtu azizuie
 
Na Mimi nimebuni zangu nitaingiza sokoni ila siweki nembo ya TFF Wala ya Timu ya Taifa. Nim tumia neno Tanzania ambayo ni haki ya Kila Mtanzania . Halafu nione mtu azizuie
Sawa, nimezipokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…