Kampeni ya kupata ndege, mdudu, mti, ua, samaki wa taifa

Kampeni ya kupata ndege, mdudu, mti, ua, samaki wa taifa

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Sasa kuna kampeni ya kupata vazi la taifa. Kwa ajili ya utalii na utamaduni tunatakiwa kupata vingi vya taifa. Mti, ndege, ua, mdudu, samaki nk nk.

1. Napendekeza siafu awe mdudu wa taifa
images (1).jpeg


2. Secretary bird awe ndege wa taifa.
20170525_Pairi_Daiza_Sagittarius_serpentarius_con_huevos.jpg
 

Attachments

  • 20170525_Pairi_Daiza_Sagittarius_serpentarius_con_huevos.jpg
    20170525_Pairi_Daiza_Sagittarius_serpentarius_con_huevos.jpg
    178.9 KB · Views: 3
  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    55.6 KB · Views: 2
Gongo iwe pombe ya Taifa.....sababu inapatikana katika kila kona ya inji hii🤪
 
Mi napendekeza Kinyonga awe ndio mdudu wa taifa ukiachana na sifa yake ya kuwa na spidi ya 'chui', pia huwa haeleweki misimamo yake kutokana na kubadilikabadilika kwake

Na pamoja na uzembe wake, ila kwenye kula yupo vizuri sana msosi anaula hata akiwa mbali
 
Huyu secretary bird ndio ndege gani ? Hatumjui
 
Mada nzuri ingawa dot.com, wameivuruga,nembo za Taifa ziwe unique, tutaje vitu ambavyo dunia nzima vipo Tanzania tu,na tunavyo vingi tu
 
Back
Top Bottom