Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Ndugu wananchi !
Naamini mnaanza kuona mwenendo wa baadhi ya vyombo vya habari kuipendelea CCM.
Naomba kuwauliza lisu ameikosea Nini media house ya Tanzania?
Lisu alinusurika kuuwawa kwasababu ya kutetea watanzania na madhila mpaka ya kupokonywa ubunge ni kwasababu ya kutetea haki.
Hivi media house hamkumbuki mchango wa lisu kwenu?
Mnataka muwe kama lijua likali wa kilombero morogoro?
Alitetewa na lisu mahakamani Leo kamsaliti lisu .
Lijua likali ni yuda iskariote serikali ya CCM ilitaka kumfunga lisu akamnasua Leo hii lijua likali anamsaliti lisu.
Media house za Tanzania Leo hii mmeamua kuchagua upande mmoja sawa kabisa ni Hali yenu Kama vile wasanii walivyotudharau sisi wapenzi wao.
Hivyo basi nashauri.
1. Kwakuwa media ziko taasisi mbali mbali ambazo zinaongozwa na weledi basi sisi walaji wa kazi zao tudhamirie yafuatayo.
A. Salamu iwe fupi kwao.
B.No story nao.
C.No lifti kwao.
D.Misiba na magonjwa Yao watusamehe.
E.Magroup yao ya media left.
F.Harusi zao wachangiwe kadi na CCM.
Kiufupi kila mtu akale anakopeleka mboga Leo.
Sisi tutaishi na Shida zetu na maxence Mello wetu.
Wasanii wote wametusaliti pengine wachache wanatuunga mkono tuwaulize swali moja tu.....
Je kampeni zikiisha watatuhitaji sisi ambao hatukuiunga mkono CCM Yao iliyotupa mateso miaka yote?
Je harmonize kiba na diamond plus mwana fa et al watahitaji tununue kazi zao ? Sisi sisi wanaotusaliti Leo?
Kama tundu lisu alipopigwa risasi watanzania milioni 20 waliumia na wako na tundu lisu mpaka Leo je msimu wa siasa ukiisha watahitaji Hawa watanzania milioni 20 wanunue kazi zao au wa subscribe channel zao?
Muda umefika kila mtu ashinde mechi zake na akale anakopeleka mboga Leo.
Superbug..!