Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,478 Reaction score 3,659 Jun 24, 2010 #1 wanasema tuuoigie kura mlima wetu ili uwe kwenye maajabu saba mapya ya dunia. kwa staili hii hata ukipita sitaona uzito wake kwa kuwa umepigiwa kura. chema siku zote hujiuza. kwani maajabu ya awali yalitumia mtindo huu? Attachments kk.jpg 87.8 KB · Views: 56
wanasema tuuoigie kura mlima wetu ili uwe kwenye maajabu saba mapya ya dunia. kwa staili hii hata ukipita sitaona uzito wake kwa kuwa umepigiwa kura. chema siku zote hujiuza. kwani maajabu ya awali yalitumia mtindo huu?
Ntemi Kazwile JF-Expert Member Joined May 14, 2010 Posts 2,182 Reaction score 308 Jun 25, 2010 #2 Tupe link mkuu
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,478 Reaction score 3,659 Jun 26, 2010 Thread starter #3 Ntemi Kazwile said: Tupe link mkuu Click to expand... jaribu kupitia mitandaoni na pia kwenye globu ya jamii. pia jaribu kuandika new world wonders kwenye gogo. nadhani itakuletea
Ntemi Kazwile said: Tupe link mkuu Click to expand... jaribu kupitia mitandaoni na pia kwenye globu ya jamii. pia jaribu kuandika new world wonders kwenye gogo. nadhani itakuletea