Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Timu ya Wataalam ya kampeni ya msaada wa kisheria wa mama Samia Legal Aid (MSLAC) ikiongozwa na Salome Mwakalonge ambaye ni Mratibu kutoka Wizara ya Katiba na Sheria imeendelea kutoa elimu ya kisheria kwa Wananchi wa Manispaa ya Mpanda.
Timu hii ya wataalamu imefanikiwa kutatua mgogoro baina ya Wananchi wa kawanzige na Gereza la Kalilankulukulu, juu ya kuingiza mifugo na kulisha mazao yaliiyopo kwenye eneo la Gereza kinyume na Sheria.
Mkuu wa Gereza la Kalilankulukulu SSP Joseph Mkalaba amesema walikamata mifugo 29 (ng'ombe) zilizo ingizwa eneo la Gereza na kulisha mazao kinyume na Sheria.