GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,241
- 3,800
Hii kampeni #TwendeNaMajaliwa2025# ilikuwa chini ya Ayubu na wenzake. Ilikuwa imeshaanza kuota mizizi nchini kwani viongozi wengi wa chama na jumuiya pamoja na wabunge wengi wa CCM walikuwa wameshaingia mkenge kwenye kampeni hii.
Ila maaaa weeee ghafla Hangaya amepindua meza mambo yamekuwa hovyo hovyo. Watu wamebaki midomo wazi hawaamini kinachotokea.
Ila maaaa weeee ghafla Hangaya amepindua meza mambo yamekuwa hovyo hovyo. Watu wamebaki midomo wazi hawaamini kinachotokea.