Sasa Mama ache mambo ya ajabu maana kuna tetesi kwamba katelefon amekwenda kuomba msamaha kwa mama. Hii haikubaliki. Katelefon hana aibu. Hasa ukitilia maanani juzi tuu kafanya kikao cha siri huko kwao Lindi ili kimvuruga Mama.Hii kampeni #TwendeNaMajaliwa2025# ilikuwa chini ya Ayubu na wenzake. Ilikuwa imeshaanza kuota mizizi nchini kwani viongozi wengi wa chama na jumuiya pamoja na wabunge wengi wa CCM walikuwa wameshaingia mkenge kwenye kampeni hii.
Ila maaaa weeee ghafla Hangaya amepindua meza mambo yamekuwa hovyo hovyo. Watu wamebaki midomo wazi hawaamini kinachotokea.
Ukijiskia kuandaka unaandika, Ila mpuuzi pekee ataamini huu upuuziSasa Mama ache mambo ya ajabu maana kuna tetesi kwamba katelefon amekwenda kuomba msamaha kwa mama. Hii haikubaliki. Katelefon hana aibu. Hasa ukitilia maanani juzi tuu kafanya kikao cha siri huko kwao Lindi ili kimvuruga Mama.
Huyu ni nyoka hatakiwi kuwepo tena kwenye serikali ya Mama. Nae aende wakapange na Jobo.
Bado sioni kama maza amepindua, watu wameweka grounda nzuri na wana backups za makundi zofauti, mama asipocheza karata yake kwa akili atajikuta anademka tu 2025 wakati wenzie wanapaaHii kampeni #TwendeNaMajaliwa2025# ilikuwa chini ya Ayubu na wenzake. Ilikuwa imeshaanza kuota mizizi nchini kwani viongozi wengi wa chama na jumuiya pamoja na wabunge wengi wa CCM walikuwa wameshaingia mkenge kwenye kampeni hii.
Ila maaaa weeee ghafla Hangaya amepindua meza mambo yamekuwa hovyo hovyo. Watu wamebaki midomo wazi hawaamini kinachotokea.
Kasimu hawezi, kwanza ni moja ya viongozi waoga sana tofauti na mawaziri wakuu wote waliopia, labda kama kuna mtu anamfanyia hujuma kasimuNachelea kuamini kama kweli Kassim amefanya hayo....Kweli hajui nguvu ya Rais ?
This was when Lowassa was the real Laigwanan, siku hizi amejiishia hana mpyaNajua shida yenu, ni uwaziri mkuu, I Can grant your wish,... By Lowassa
Ayoub alionyesha dharau mapema sanaaaHata kwa Ayubu ulikuwa huamini hivihivi ila mwisho wa siku umeona yaliyotokea.