Zanzibar 2020 Kampeni za CCM 2020: Magufuli, Mwinyi kutikisa Zanzibar tarehe 03 Oktoba katika viwanja vya Mnazi Mmoja

CCM Damu

Member
Joined
Oct 29, 2007
Posts
15
Reaction score
28
Mliosema “Magufuli hampendi Mwinyi anapretend tu” sasa kesho muwe macho muone support.

Mkutano mkubwa kuliko tunausubiri hapo kesho katika viwanja vya Mnazi Mmoja.

PICHA: Jinsi Dkt. Magufuli alivyowasili visiwani Zanzibar





PROMO:
Your browser is not able to display this video.
 
Tusubiri maroli yakitoka huku nakule kuwakusanya wanafunzi.
 
Hakika mwenyezi Mungu, amelibariki taifa langu kwa kutupa kiongozi smart Sana.
 
Reactions: UCD
Ningekua karibu ningeenda kuongeza idadi ya vichwa
Diamond Ali kiba zuchu !!! Naanzaje kuikosa burudani ya nguvu kiasi hicho!!!.
 
Sasahivi meli za bakharesa zishajipanga kwenye Bandar ya pemba kusomba watu.
Sasa hutaki? Kwani nyinyi Malalamiko FC mmekatazwa kufanya hivyo!?
 
Nimeona wasanii hapo wakina AliKiba, Diamond, Harmonise n.k
 
Hizi ni zilipendwa tuko na Lissu
 
Natamani Magufuli baada ya kuapishwa kwa kupindi cha pili azidishe kubana kabisa tena awashugulikie wote wale wanaoenda kinyume na mipango yake na wanao mchukia nao awashugulikie kwelikweli maana hatakuwa na cha kupoteza
 
Natamani Magufuli baada ya kuapishwa kwa kupindi cha pili azidishe kubana kabisa tena awashugulikie wote wale wanaoenda kinyume na mipango yake na wanao mchukia nao awashugulikie kwelikweli maana hatakuwa na cha kupoteza
Hata akina Mobutu, Gadhafi nk. walibana mwisho siku wakamaliza kwa aibu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…