johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hivi Leo pia Ni siku ya shule?
Tamasha jingine hiloo sasa linafanyikia Unguja na mgeni rasmi ni magu, watumbuizaji ni Diamond, Harmonize na wengine.Leo mgombea urais wa CCM Dr Magufuli anafanya mkutano mkubwa wa kihistoria wa kampeni Zanzibar ambao utaisimamisha Unguja.
Kadhalika vijana wenye mafanikio makubwa ya kisanii na kiuchumi ambao ni makada wa CCM Diamond, Kiba na Harmonize wataeleza namna serikali ya Rais Magufuli ilivyowapaisha kimafanikio.
Mkutano utakuwa mubashara kwenye luninga zote maarufu nchini na mitandaoni.
Up dates;
Sie tulishashinda zamani..hiki ni kipindi cha kusherehekea ili tusiharibu utaratibu wa NEC..baada ya tarehe 28.10 tutakuwa bize na kuifanyia maajabu tanzania phase ya pili.Tamasha jingine hiloo sasa linafanyikia Unguja na mgeni rasmi ni magu, watumbuizaji ni Diamond, Harmonize na wengine.
Leo tupo na King Kiba stejiniLeo mgombea urais wa CCM Dr Magufuli anafanya mkutano mkubwa wa kihistoria wa kampeni Zanzibar ambao utaisimamisha Unguja.
Kadhalika vijana wenye mafanikio makubwa ya kisanii na kiuchumi ambao ni makada wa CCM Diamond, Kiba na Harmonize wataeleza namna serikali ya Rais Magufuli ilivyowapaisha kimafanikio.
Mkutano utakuwa mubashara kwenye luninga zote maarufu nchini na mitandaoni.
Up dates;
Safi sana JPM. Tuyaache maropokaji yaendelee kuropoka maana hizo ndio uchafu zilizopo kichwani mwao yakijua hayashindi.
Watu wenye akili kama akina Mnyika walishasoma alama za nyakati wakakaa kimya.
Hawa wehu wengine wanapita kwenye mafanikio ya CCM kisha wanaendelea kutukana
NEC wameshawaambia kuwa mmeshinda kumbe!Sie tulishashinda zamani..hiki ni kipindi cha kusherehekea ili tusiharibu utaratibu wa NEC..baada ya tarehe 28.10 tutakuwa bize na kuifanyia maajabu tanzania phase ya pili.
Mliosema “Magufuli hampendi Mwinyi anapretend tu” sasa kesho muwe macho muone support.
Mkutano mkubwa kuliko tunausubiri hapo kesho katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
PICHA: Jinsi Dkt. Magufuli alivyowasili visiwani Zanzibar
View attachment 1588437
View attachment 1588438
View attachment 1588439
PROMO:
View attachment 1588395
Tusubiri maroli yakitoka huku nakule kuwakusanya wanafunzi.