Elections 2010 Kampeni za CCM katika picha - toa maoni yako

Alafu paja moja la kulia la mdada huyu linatafuta nini kwenye mapaja ya muungwana?
 
Mkuu Mwafrika
Yap, kwa pesa zao wenyewe...CCM sio chama cha kilofa...



kweli kabisa mkuu, ukichukulia mapesa yote ya EPA, Richmond, Buzwagi, Meremeta, Deep Green, etc
Kazi ipo mkuu wangu.....mimi nawavulia kofia kwa show game... watani wangu mko fit hapo.
 
kweli kabisa mkuu, ukichukulia mapesa yote ya EPA, Richmond, Buzwagi, Meremeta, Deep Green, etc
Kazi ipo mkuu wangu.....mimi nawavulia kofia kwa show game... watani wangu mko fit hapo.
Kheeeee heeee heeee...Eeeh! Unaanza kuspin sio... kama kawaida yenu... Anyway hawa hapa chini niaje?


 
Kheeeee heeee heeee...Eeeh! Unaanza kuspin sio... kama kawaida yenu... Anyway hawa hapa chini niaje?



Hao ulisema kuwa ni NCCR Mageuzi? Naona unauliza a wrong person hapa
Hizo sio spin mkuu, haya ni mambo yaliyotokea Tanzania ndani ya miaka 10 iliyopita chini ya utawala wa ccm.
 
hawa watanzania walivyoambiwa kuhusu wizi wa CCM walishika vichwa kwa huzuni:

 
Picha imegoma... Tatizo jamaa alikuwa anahubiri injili... labda hapo alikuwa akiwatoa pepo...

ha ha ha ... acha bange sasa.
BTW - ile picha uliyoweka kwenye thread ya Rev Masa nimeipenda sana.
 
Hehehhe guys! you made my day hahahhhahaaaaaaaaaaaaaa!lol!Mungu ailaani CCM na Mafisadi wake! Amen!!!😛eace:
 
Dr Slaa anastahili pongezi. Ukiona hadi bingwa anakaa chini kutafuta huruma kwa kisingizio cha unyenyekevu ujue mambo si mambo, hii nirekodi. Mtu ambaye angeweza kukaa chini bila kuwa na ajenda ya siri nadhani ni Nyerere na Mwinyi tu. Msela jasho limemtoka hadi analazimika kukaa chini. Tatizo Kikwete si mzuri katika kujieleza ndo maana analazimika muda mwingi kufanya vituko.
 


 

Hawa mashabiki wa Yanga?

CCM wanahela sana hebu fikiria hizo kofia na Tshirt zingenunua vitanda vingapi Hospitali ya Mwananyamala?

Shem Kibs rekebisha kiingereza hapo Queen akisoma atachukia sana umeharibu
Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problems,
But, if you think again, neither does milk."
 
Wanaohitaji msaada wa bajaji wako wengi sana, sasa kama wanashindwa weka sera nzuri za kusaidia wengi wanakimbilia saidia mtu mmoja mmoja hiyo ni kutafuta cheap publicity. It only happens in Africa!
 
Rev Masalino:
Kwa hiyo s hapo ndio tatizo? Lugha hizi mashaka matupu!
 
Picha inatatizo gani...??!! mbona imekaa SAWA TU
 
Ha ha h aha .. hata mkono wa kulia wa huyo dada umeuona?
Ukiangalia huo mkono wa kulia wa huyo dada utaona kidole cha mwisho (pinky) kimetengana sana na vingine/kinavutwa, hii inaashiria movement away from the pinky kuelekea "ikulu". Na sijui kama kuna aliyeangalia vizuri macho ya huyo dada, anaonekana kufunga macho kwa hisia....labda ni kwa sababu ya mkono wa kulia wa JK.
 

Nami nimeliona hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…