Elections 2010 Kampeni za CCM katika picha - toa maoni yako

Mtu wawatu huyo angefanya silaha mngeshangilia
ccm ole wenu!! Oleeeeeee
 
Ndio maana hata simama juu ya jukwaa atoe ahadi ya madawati katika shule zetu.

Big liar !!!!!!
 
Hawa mashabiki wa Yanga?

CCM wanahela sana hebu fikiria hizo kofia na Tshirt zingenunua vitanda vingapi Hospitali ya Mwananyamala?

Shem Kibs rekebisha kiingereza hapo Queen akisoma atachukia sana umeharibu
Unazungumzia t-shirt na kofia, Wakati wadau wa k.koo tulichukuliwa na costa tukalamba na 7500 kila mtu. Tunangoja kula pilau na Bia tarehe 30 October. Then
KULA CCM, KURA DR. SLAA.
 

ha ha ha wewe peasant sasa ndiyo umepatia kabisaaaa
 
Kwenye gazeti la Mwananchi la leo (Septemba 24, 2010), kuna habari na picha ukurasa wa kwanza inamuonesha mgombea wa Urais kupitia CCM, Jakaya Kikwete, akiwa amekaa chini na mwanamke mrembo. Kikwete anaonekana ametabasamu sana, huku akimwangalia huyo dada machoni. Dada huyo naye ametabasamu na anamwangalia Kikwete machoni huku mkono mmoja akiwa kamshika JK begani na mwingine kamsika gotini.
 

Attachments

  • jk-makete.jpg
    233.1 KB · Views: 32
huyu mama alitakiwa aseme, sidanganyiki?
 



Kwa wale ambao hii picha haionekani vizuri, someni post ya Wozoza kaiweka vizuri hapo chini:

Kampeni za CCM mwaka huu noma:

1. Ukoo kwa Ukoo

2. Familia kwa Familia

3. Shuka kwa Shuka

4. Kitanda kwa Kitanda

5. NYASI KWA NYASI
 
asante saana mwafrika kwa hiyo picha usitishike kwan kelele za chura hazimfanyi tembo asinywe maji. Slaa ni chaguo la watanzania 2010. once again thank u saana
 
Mkuu Mwafrika
Yap, kwa pesa zao wenyewe...CCM sio chama cha kilofa...


Indeed si cha kilofa Kibs...!

Wengi wamenunuliwa. Si mtaji wenu ni ujinga na umasikini wao!! Hatushangai...
 
Nyie hamjaangalia vizuri.

Kikwete alikuwa kashavaa hadi koti Jeusi. Ukiangalia kwenye picha, watu wengi walikuwa kwenye T-Shirt za mikono mifupi na hii ikiahirisha kuwa haikuwa baridi kama anavyoonekana Kikwete na koti zito tu.

Sintashangaa kuwa mama alikuwa ameandaliwa na majani yalitafutwa wapi Mkwere atakaa. Ila pamoja na nyasi, bado akaongeza na koti. Nafikiri alipoondoka tu, alidai waliondoe na walitupe mbaaaali kabisa ili lisimkumbushe kituko hicho.

Mama anachekelea kukaa na Mkwere wakati Mkwere analalama kwa nini amelazimishwa na Slaa akae chini.....
 
Kheee heee heee...ila wewe unajua unachofanya...

Kulikuwa na awamu mbalimbali ndani ya CCM ila 2005 -2010 ni Sisiem ya Ze komedi! Namwomba mchungaji Masanillo ahakikishe anai-save na kuiweka kama sehemu muhimu ya historia..
 



Kwa wale ambao hii picha haionekani vizuri, someni post ya Wozoza kaiweka vizuri hapo chini:

Hebu iangalie kwa makini hii picha na utagundua jambo moja baya/zuri sana (kulingana na mtizamo wako kuhusu Kikwete).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…