Nimefanikiwa kushuhudia the last 15mins of the meeting. Observation zangu:-
1. Turn out ilikuwa ya kufa mtu, mchanganyiko wa vijana wa kike na kiume na kundi kubwa la akina mama machinga ambao wana machungu ya kunyanayaswa sana hapa Moshi
2. Watu hawakuletewa walikuja wenyewe
3. Campaign materials kama scarf, CDs na tapes, badge etc zilizokuwa zinauzwa uwanjani na CHADEMA zilinunuliwa kwa wingi na watu wa rika na jinsia zote. I could spots hundreds of people wearing the SLAA badge, ambayo ilikuwa inauzwa shs.1000. Hivyo watu wanajitoa kuchangia mapambano.
4. Nilichofurahia, SLAA will be live on air leo saa tatu on Moshi FM 90.20 ambapo atahutubia na kujibu maswali yatakayoulizwa live kupitia simu. Hivyo ataweza kuwafikia wananchi wote wa Kilimanjro , Tanga na Sehemu za Arusha BILA ZENGWE la Radio za Mafisadi
5. Mtu pekee wa TV niliyeemuona uwanjani alikuwa Salim Mwalimu wa Channel, I hope watairusha hewani taarifa ya mkutano huu.