Elections 2010 Kampeni za CHADEMA Moshi Mjini katika picha

Asant mkuu tunasubiri kwa hamu hizo picha za rais mtarajiwa.
 

Dah si mchezo nyomi ya kutosha hawa wanakuja bila kupewa buku 2
 
Dah si mchezo nyomi ya kutosha hawa wanakuja bila kupewa buku 2[/QUOTE said:
Du Mkuu ndo maana napenda JF endelea kuwapa raha wapendwa
 
Ni Slaa yupo Moshi leo au mzee Ndesa?

Wote mkuu wako Moshi uwanja wa Mashujaa. Sauti ya Zege kamwambia Salakana kuwa hata kuongea taabu. Eti viwanda kaua Ndesa.
Kubwa zaidi ni hii ya kupiga yowe la kichaga! Kila akitajwa Kikwete "eeee uuuwiiiiiii" Salakana "Eeeuuuuwii"
 
Kwa miaka mingi sana watu walisubiri mtu wa kumpigia kura hawakuwa naye na kuishia kuipigia CCM kwa shingo upande, lakini mwaka huu wamempata naye ni Dr. Slaa. Inatia moyo kuona sasa siasa imekomaa kwa TZ, watanzania si mabwege tena. CCM muwe wazalendo mkubali kushindwa kama mtashindwa na si kubadili matokeo. Waacheni watanzania waamue nani wanataka awaongoze na si kuwapangia. Slaa tunakuombea ushindi uko wazi mwaka huu.
 
Pamoja na unafuu wa hali ya kimaisha kilimanjaro wana support upinzani,LINDI pamoja na umaskini wote ndio wanaongoza kuichagua CCM!AIBU!
 
Pamoja na unafuu wa hali ya kimaisha kilimanjaro wana support upinzani,LINDI pamoja na umaskini wote ndio wanaongoza kuichagua CCM!AIBU!
Wacha wafe kwa umaskini wao. Salma mwenzao/ndugu yao kila siku yuko kwenye mashuka ya watu mikoani.
 
Nimefanikiwa kushuhudia the last 15mins of the meeting. Observation zangu:-
1. Turn out ilikuwa ya kufa mtu, mchanganyiko wa vijana wa kike na kiume na kundi kubwa la akina mama machinga ambao wana machungu ya kunyanayaswa sana hapa Moshi
2. Watu hawakuletewa walikuja wenyewe
3. Campaign materials kama scarf, CDs na tapes, badge etc zilizokuwa zinauzwa uwanjani na CHADEMA zilinunuliwa kwa wingi na watu wa rika na jinsia zote. I could spots hundreds of people wearing the SLAA badge, ambayo ilikuwa inauzwa shs.1000. Hivyo watu wanajitoa kuchangia mapambano.
4. Nilichofurahia, SLAA will be live on air leo saa tatu on Moshi FM 90.20 ambapo atahutubia na kujibu maswali yatakayoulizwa live kupitia simu. Hivyo ataweza kuwafikia wananchi wote wa Kilimanjro , Tanga na Sehemu za Arusha BILA ZENGWE la Radio za Mafisadi
5. Mtu pekee wa TV niliyeemuona uwanjani alikuwa Salim Mwalimu wa Channel, I hope watairusha hewani taarifa ya mkutano huu.
 
Nilijua tu Kilimanjaro hawadanganyiki washawapiga chini jamaa wa kijani!
 
Asante kwa jitihada, walau sasa tunakuwa update.
 
Chadema mutawadanganya kilimanjaro tu miaka nenda miaka rudi lakini ccm hawana ubaguzi shule, hospitali, tutawajengea na kuzidi kuwaletea maji matamu zaidi.

kura kwa kikwete na ccm!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…