0
Kampeni za Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Leo
Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameanzia kampeni zake leo mkoani Manyara, wilaya ya Ngorongoro, Loliondo.
Baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni Ngorongoro, msafara wa Mheshimiwa Kikwete utaelekea Mkoani Mara ambapo atafanya mkutano wa kampeni Mugumu na Shirati.
SOURCE: Blogu ya Jakaya Kikwete
Hivi Ngorongoro ipo Mkoa wa Manyara? Maana mabadiliko kila kukicha.