Elections 2010 Kampeni za Kikwete na watoto wa shule - picha

Mwafrika

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2006
Posts
5,490
Reaction score
229
Watetezi wa haki za watoto wa shule tunzeni hii picha. Katika kesi kibao zitakazofunguliwa dhidi ya mafisadi wa ccm, hii ya kulazimisha watoto wa shule kwenda kwenye mikutano ya kampeni ya ccm itakuwa kwenye top ten:

ebanae nimeshindwa kupunguza size ya picha ..... I miss Rev Masanilo, angenipa msaada wa kiufundi hapa.
 
Ndio Kitanzania watoto ndio humpokea mgeni, changanya na zako
 
Picha zitakazofuatia hapa chini ni kwa hisani ya Francis Godwin
 
Wapiga kura hao! .....Sisi tunapendwa sana na watanzania wapiga kura.
 
Jamani! Hawa wangeendelea na masomo. CCM hawana huruma, wanakatisha vipindi kupeleka wanafunzi kwenye kampeni ya JK, ingekuwa Dr Slaa angeonekana amekiuka sheria.
 
Jamani! Hawa wangeendelea na masomo. CCM hawana huruma, wanakatisha vipindi kupeleka wanafunzi kwenye kampeni ya JK, ingekuwa Dr Slaa angeonekana amekiuka sheria.

ccm hawajali sheria .... wao wanajiona wako juu ya sheria zote za nchi.
 
mimi nimeanza kuichukia ccm miaka ya 1982 na kuendelea na kwa utoto wangu wakati ule tulikuwa tunahudhuria sana hivi vitu, kwa maandamano tena enzi za mchonga. emagine mnatoka shuleni saa tatu uwanjani mnafika saa nne au tano, mnashinda uwanjani mpaka saa tisa ndo mgeni rasmi aje. hapo mmeshinda njaa,kiu ya maji. hiyo kitu sikuipenda kabisa na nakumbuka nilipewa magwanda ya chipukizi enzi zile ipo moto nikayakataa. kwa kweli ccm mnatesa wanafunzi siwapendi kabisaaaaaaaa
 
Watetezi wa haki za watoto wa shule tunzeni hii picha. Katika kesi kibao zitakazofunguliwa dhidi ya mafisadi wa ccm, hii ya kulazimisha watoto wa shule kwenda kwenye mikutano ya kampeni ya ccm itakuwa kwenye top ten:

Hilo E 1 nyuma ya mkweche wa ccm ni kodi zetu...
 
Kweli kabisa mkuu, hawa wanaonekana hata chakula hawajapata:

Hapa ni Ilula, wanafunzi ni wa shule ya Changa kabisa, iliyotoa F.IV ya kwanza mwaka huu. Shule changa kama hizi, wanapotezewa muda wao wa masomo eti tu wakaongeze idadi wa watu kumdanganya JK! Walionelewa sana. Maskini pia wale watoto wa shule za msingi, hawajui lolote katika upigaji wa kura, wanakatishwa masomo yao hivi hivi!!!
 
Riziwani naye, kama baba kama mtoto. Hii familia ya kisultani itafilisi nchi yetu:

Hata kampeni za Bilal nazo zinaexploit watoto wa shule:

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…