Elections 2010 Kampeni za Kikwete na watoto wa shule - picha

Watoto hawapigi kura; kwa nini basi CCM wanaendesha kampeini kwa watoto hawa na kukoseha masomo yao, je CCM imekuwa watu wa kuwasilikiliza wameamua kusikiliwa na watoto kwa nguvu?
 
Watoto hawapigi kura; kwa nini basi CCM wanaendesha kampeini kwa watoto hawa na kukoseha masomo yao, je CCM imekuwa watu wa kuwasilikiliza wameamua kusikiliwa na watoto kwa nguvu?

Inasikitisha sana mkuu,
Jamaa wanawatoa wanafunzi mashuleni na kuwalazimisha kupanga foleni mabarabarani ili Kikwete aone kuwa anapendwa.
 
kwa watoto wa boarding ni outing bab kubwa.............. na tena kuna kucheza piiiiiiiiiiiiipiiiiiiiiiiiiii! nani hataki kuhudhuria?
 
Hilo E 1 nyuma ya mkweche wa ccm ni kodi zetu...

e bana ee, hii mijamaa inaishi maisha ya kifahari kweli. Hebu angalia msafara huo wa magari. Sidhani kama kuna Gavana yeyote yule wa states zote 50 za marekani ana msafara kama huo (and yes uchumi wa Tanzania unaweza kulinganishwa na mojawapo ya states za US).
 

Mkuu unaweza kuja na version ya Kampeni za Kikwete na Wanawake - picha! Nitachangia kwa hilo

wako mtiifu

Azadirachta indica

 
Wawaache wanafunzi waendelee na masomo!wasiwaingize kwenye kampeni za wanasiasa!
 
Kweli kabisa mkuu, hawa wanaonekana hata chakula hawajapata:


Huyo anayecheza mbele ya wengine huyo aliyevaa yeboyebo atakuja kuwa waziri wetu mkuu wa mali asili na utalii mtaona tu nyie subirini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…