Kampeni za makamu wa Rais DARUSO DUCE

Kampeni za makamu wa Rais DARUSO DUCE

JPM605

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2012
Posts
216
Reaction score
122
Ifuatayo ni ilani ya uchaguzi ya mgombea umakamo wa urais katika serikali ya DARUSO-DUCE. Hata kama wewe sio mwanduce ipitie uone jinsi huyu mtu alivyo hazina ya DUCE na hata jamii nzima ya kizazi kijacho. Mgombea mwenyewe ni MARTHA STEVEN (B.A. Education).
 

Attachments

Hivyo vitu alivyoahidi havitekelezeki!! Hizo ni siasa tu za kutafuta kulala bure, kula bure na mawasiliano ya bure.
 
Hako katabia ka mtu kujitafutia uongozi ili apone njaa ni aina ya utamaduni mbaya kabisa. Kwa huyu mgombea ni tofauti tuna ushahidi hapa DUCE wa namna anavyojiingiza katika kutambua watu wanahitaji nini.
 
Back
Top Bottom