Uchaguzi 2020 Kampeni za mwaka huu zitaiachia nchi nyufa za chuki, ubaguzi, dharau kwa dini na viongozi wake, hasira. Tunahitaji muafaka wa kitaifa

Kuna askofu anaitwa mwamakula na shehe anaitwa katimba, je umewahi kuwasikia wakitoa Sara?
Tundu ameachwa naongea anavyotaka sasa kosa liko wapi?
 
Benson mwenyekiti wako wa zamani Mbowe avyoomba ufanyeke ktk 9/12!2019 hukumwelewa Mku.
Na nakumbuka aliacha ujumbe huu ktk Taifa yaani siku KIKINUKA tusimtafute.
Yy alishaona Itikadi zilivyoligawa taifa pendwa. Tuombe Amani itamalaki
 
Maono yananiambia kwamba kabla ya Oktoba 28,kutatokea tukio ambalo si la kawaida kwa mmoja wa wagombea urais au mwenza wake na kupelekea uchaguzi aidha kuahirishwa au kusogezwa mbele...naomba nisiitwe mchawi jamani
 
Wamechanganyikiwa
 
We jamaa ingawa umenunuliwa na CCM Ila moyo wako upo kweli ya Mungu mara nyingi sana. Kaombe msamaha rudi Chadema
 
We jamaa ingawa umenunuliwa na CCM Ila moyo wako upo kweli ya Mungu mara nyingi sana. Kaombe msamaha rudi Chadema
Nikaombe msamaha kwa nani na kwa nini? Kama ni kurudi narudi tu nikitaka. Sikufukuzwa mimi.
 
Nina chuki na jiwe ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…