Uchaguzi 2020 Kampeni za mwaka huu zitaiachia nchi nyufa za chuki, ubaguzi, dharau kwa dini na viongozi wake, hasira. Tunahitaji muafaka wa kitaifa

Umepona Ugonjwa wako Benson ?
Kweli Mirembe kunasaidia
 
Sikuwai kuwaza Mambo ya ukanda
Uzi umenifanya nifikirie Hilo Jambo
Kwaio ndio kusema CDF nae Ni kanda ya ziwa....
Kwaio ndio kusema IGP nae Ni kanda ya ziwa

Raisi, kina bashiru na polepole Ni kanda ya ziwaa

Wasalaam
Tuache fikra mbovu
 
Hahaha uwiiiii Mkuu umeona hakuna Dalili za teuzi nini ???!!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona kama akili zimekurudia ghafla asubuhi asubuhi hii
 
Hahaha uwiiiii Mkuu umeona hakuna Dalili za teuzi nini ???!!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umepona Ugonjwa wako Benson ?
Kweli Mirembe kunasaidia
Kweli nimeamini hata saa mbovu kuna watu,
Mbona kama akili zimekurudia ghafla asubuhi asubuhi hii
Umepona Ugonjwa wako Benson ?
Kweli Mirembe kunasaidia
Kweli nimeamini hata saa mbovu kuna wakati inasema ukweli aiseee 🤣🤣🤣🤣
 
Ama kweli saa bovu kuna wakati linapatia majira
 
Hali ni shwari kabisa mtoa mada, wewe chapa kazi mengine hayo ni kutaka kujaza watu hofu.

Baada ya tarehe 28/10/2020 maisha yataendelea na kama ilivyo kawaida CCM watakuwa wameshinda kwa kishindo.
Huu ndio ukweli.
 
Nchi ishapasuka kitambo tu toka 2015 kilichobaki Ni matokeo ya mpasuko!!

CCM inaleta hatari kubwa Sana, damu za watu mwaka huu zitamwagika sanaaaa,
Tume na CCM kamwe hawatakwepa mkono wa karma na laana
 
Umekula nini mkuu ?!. Naona akili zimekurudia vizuri !!. Hayo ulioyanena pamoja na mwenendo wa tume kuigemea Ccm kwa kuengua wagombea wa upinzani ni tatizo kuu.
 
Leo umekula maharage ya wapi wewe kichwa panzi? 😆
 
Muafaka upi wewe, mambo ya kunywa juice ikulu yashapitwa na wakati! Sasa ni muda wa kazi tu. Jeipiemu tano tena!
 
Kabisa mkuu, umenena, nadhani dawa safi ni serekali ya mseto
 
Usinilishe maneno. Mimi nilikuwa napingana na Mbowe na kikundi chake namna ya uendeshaji wa Chama. Wanachama walinielewa. Sasa habari za Mbowe nimefunga. Niko na agenda nyingine.
Isipokuwa katika hii agenda, Mbowe aliishikia bango sana, hata akamwandikia Raisi kuwa kuna haja ya kuwa na Mwafaka wa kitaifa kabla ya kuendelea na maandalizi ya uchaguzi. Alirudia tena hasa baada ya ccm kubaka uchaguzi wa serikali za vijiji na vitongoji. Mwafaka ni muhimu lakini ni too late kufanyika kabla ya uchaguzi. Mwafaka ungehusu sheria ya uchaguzi ambayo imeengua wagombea kibabe na kijinga sana. Tume imetumia ubabe kuengua wagombea, inaendelea kutumia ubabe kuwapa adhabu za kuwafungia siku 7 za kutokufanya kampeni, na bado itaendesha uchaguzi kwa ubabe, kuapisha mawakala kwa ubabe na pia itatangaza matokeo kwa ubabe badala ya ukweli na uhalisia. Too late! Mgogoro hauepukiki! Mfano Bashiru alisema mubashara kuwa watatumia dola kushinda, mama Salma anesema hata ccm isipopigiwa kura itaunda serikali, chadema wamesema wakidhulumiwa wataingia barabarani, Tume imesema hailazimiki kuwapa mawakala matokeo ya uchaguzi vituoni, na mitego mingi iliyowekwa ili kuiba matokeo. Too late now.
 
It's never too late mkuu mshunami ,ni mtu mmoja akiamua tu,kila kitu kinafanyika.
 
Mnufaiko ukiwapitia kushoto huwa na akili,mcheck tumaini el,Herier huwezi pingana na ukweli.
 
Kamanda karibu jukwaani .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…