Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Wenzetu wamestaarabika sana
Kwa umri wangu sijawahi kushuhudia kampeni za namna hii. Hivi mnajua kama kampeni za uchaguzi huu zimeanza tangu 2021? Hiyo mibango ipo tangu 2021.
Yaani umepiga kampeni kwa miaka minne lakini bado unaogopa kushindana, hii sio kawaida kabisa katika historia yetu.
Pumbavu zako,kwani anashindana na nani??kichwa maji weweKwa umri wangu sijawahi kushuhudia kampeni za namna hii. Hivi mnajua kama kampeni za uchaguzi huu zimeanza tangu 2021? Hiyo mibango ipo tangu 2021.
Yaani umepiga kampeni kwa miaka minne lakini bado unaogopa kushindana, hii sio kawaida kabisa katika historia yetu.