Nae yumo?Mbona eng.hersi simuoni
Dan hata siku 14 bado.. Yaani marehemu bado hajaoza😭😭😭😭KONGWA. Kampení za uchaguzi kuwania ubunge kupitia chama Cha mapinduzi zimeanza Leo tarehe 15-8-2025, zikianzia Kata ya Kibaigwa . Wagombea wapo 13 ikiwemo 7 kati ya 10 waliowania pàmoja na Hayati Ndugai na ingizo jipya ni wagombea 6.
Chama Cha mapinduzi kilitangaza kuwa Uchaguzi kura za maoni katika Jimbo la Kongwa kufanyika Jumapili hii ya tarehe 17View attachment 3442080
Hahahahaaa watu hawana muda watu wakimaliza kula pilau lako wanawaza mambo zingine mapema tu hahahahDan hata siku 14 bado.. Yaani marehemu bado hajaoza😭😭😭😭
Asiekuwepo na lake halipo.Dan hata siku 14 bado.. Yaani marehemu bado hajaoza😭😭😭😭