Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Kwani kampeni tayari zimeshaanza?
Hivi karibuni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), na Mbunge wa Isimani, William Lukuvi, ametangaza mpango wa kujenga mabwawa makubwa katika Tarafa ya Isimani ili kuboresha kilimo cha umwagiliaji na kukabiliana na uhaba wa maji.
Akizungumza katika ziara ya kikazi Kising'a, Iringa, Lukuvi alieleza kuwa mradi huo utaimarisha uzalishaji wa mazao na kuboresha maisha ya wakazi wa Isimani
=====================================================
Lukuvi amekuwa Mbunge wa jimbo hili kwa zaidi ya miaka 15 kwanini hakufanya hicho anachokisema miaka yote hiyo anakuja kusema katika kipindi hiki ambacho watu wanaenda kwenda Uchaguzi Mkuu?
Ngoja tuone kama ataweza kutimiza anachokisema!
Source: Nuru FM Iringa