Kampeni za upandaji miti ni usanii?

Kampeni za upandaji miti ni usanii?

Hivi hizi kampeni za upandaji miti huwa ni usanii au kitu gani? Maana unakuta baada ya zoez Hilo hakuna mwendelezo Wala ufuatiliaji. Korea/Seoul miti kila pahala. Sisi yupo bize na kukopwa tu
Kumbe na wewe ulikuwa kwenye msafara wa korea?
Anyway, ukweli ni kwamba kampeni nyingi za uhamasishaji hapa nchini kwetu ni usanii tu. Miti inapandwa kiangazi, mvua za kubahatisha. Mi nilishawashauri wachimbe hata visima vya uhakika kila shule, wanafunzi wanakuwa wanamwagilizia ile iliyo jirani nao.
 
Back
Top Bottom