Trump campaign asks supporters to sign coronavirus waiver ahead of rally Kabla ya kuingia ukumbini kila mmoja wao lazima atie saini kwenye 'Corona Virus Waiver'. [emoji1] Ambayo inamuondolea Trump na timu yake ya kampeni lawama zote iwapo mtu ataugua au afe kwasababu ya maambukizi ya COVID-19 kwenye mikusanyiko hiyo.