,,,,,,, kampeni zikiwa zinaendelea ,swali gumu kwa wagombea urais nchini kenya

,,,,,,, kampeni zikiwa zinaendelea ,swali gumu kwa wagombea urais nchini kenya

NAFTAL DANIEL

Member
Joined
Nov 14, 2012
Posts
27
Reaction score
5
Kampeni za Uchaguzi nchini KENYA zimepamba moto moja ya maswali muhimu na magumu yanayomwandama Mmoja ya ,Wagombea URAIS Mh,UHURU KENYATA ( Ambaye ni mtoto wa Rais wa zamani wa kenya Mh, JOMMO KENYATA) ni kwamba awaambie wa Kenya "UHURU - (Minus) jina la baba yake ni nani? ndani ya Kenya? na kwa Wakenya? amewafanyia nini hadi kuhisi anastahiri kuwa RAIS wa KENYA .

Binafsi limenifurahisha sana kwani nahisi mwaka 2015 nakuendelea litajitokeza hapa nchini Kwasababu tuna vijana wengi ambao CV zao hazina jitihada zao binafsi bali wanabebwa na baba zao KWA MFANO UNADHANI MH,JANUARY MAKAMBA ANGEKUWA MBUNGE LEO KISHA WAZIRI BILA UHUSIANO WA FAMILIA YAKE (FAMILIA YA MH,KATIBU MKUU WA CCM WAKATI HUO, AMBAYE NI BABA YAKE MZAZI? NADHANI MH, SHELUKINDO ALIYEKUWA MBUNGE WA BUMBULI ANAWEZA KUNIUNGA MKONO KATIKA HILI ,SASA TUNAO WENGI SANA KATIKA SIASA YA NCHI YETU HAWA WANAOBEBWA NA FAMILIA ZAO.

KUNA HAJA YA KUANDAA MASWALI HAYA KWAO WEWE UNASEMAJE? FUNGUKA,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

 
Back
Top Bottom