LGE2024 Kampeni zimeisha na wagombea tumewasikiliza tunamwomba Mungu wa mbinguni atupe Uchaguzi Huru na wa Haki!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kuhusu Ushindi sisi CCM Hatuna mashaka kwa sababu tunaingia uchaguzini tukiwa na Ushindi wa 62% kibindoni

Tunaimba Mungu wa mbinguni atufanyie Wepesi hizo 38% zilizobaki nazo atupe zote kwa ajili ya Maendeleo ya taifa hili

Chadema jifunzeni kwanza Uongozi kwenye Biblia Takatifu na hasa Juu ya Farao aliyemjua Yusuf Mwanzo 41:41 na Farao asiyemjua Yusuf Kutoka 14:14

JK aliwakaribisha Bungeni na Shujaa akawatimua Bungeni, bado hamjakomaa

Nawatakia Uchaguzi wenye Baraka 🌹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…