Marmo amebariki kampeni ya nyumba hadi nyumba lakini hajatufafanulia kuhusu kukusanya habari za wapiga kura nyumba hadi nyumba hasa zinazofanywa na chama tawala.
Kabla ya kupiga kura kuna chama ambacho kitakuwa na data za watu wake na wasio watu wake na hii ni hatari kawni ikitokea vurugu ya kuchomea nyumba ni kiasi cha tawi la chama kuamua ipi iunguzwe na ipi ibaki.
hii ni njia ya kutoa kanga, kapello, sukari, chumvi, twanga pepeta za china, na uniform za shule na ada ya shule, rushwa kwa mbele na yeye ndio waziri wa nchi kushughulikia usalama wa wala rushwa