tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Mie hata mimba sijaiona bado nasikia tu ana mimba
C&P na kupenda Mashindano.Ndiyo maana nikauita upumbavu.
Huyo mtoto mwenyewe hata bado hajazaliwa lakini watu tayari washampigia mahesabu ya namna gani wanaweza kunufaika kibiashara!
How low can they go?
Eti mtoto atakuwa kivutio!
Kivutio gani?
HahahhahahahhaahIvi Mungu ilikua lazima mama angu anizae hapa Tanzania mweeeee..!
My hubby dinazardeNimeogopa ujue......baadae nkakumbuka kuwa My hubby ni user name ya mdada hapa jf.
ahaha nyani ngabu kiboko, wampeleke wapi?? ahaja"kwani wanaamini mtoto huyo atakuwa kivutio kikubwa."
Upumbavu to the nth degree!
Eti mtoto atakuwa kivutio kikubwa! Sababu?
Atakuwa na mapembe huyo mtoto? Atakuwa na mkia labda?
Kama atakuwa kivutio kikubwa si wampeleke kwenye zoo huko watu wawe wanalipia hela kwenda kumwona.
Haya wale wenye kutokwa povu kwenye matundu yote mliyonayo nakaribisha matusi yenu😀.
Kama una ubavu ni quote twende toe to toe ila kama huna unaweza ukanitukana bila kuninukuu na kusepa.
Mie hata mimba sijaiona bado nasikia tu ana mimba
Si bora hata alishike yeye hadi wengine wanapewa kulishika sijui huku mtaani kwetu zamu yetu kulishika ni liniHahahahha tupo wengi... Sasa kwanini analishikashika tumbo kama vile la miezi Sita???
We msukuma acha ukorofiAh wapi...siwezi kukwaruzana na lightweights.
Haitakuwa fair kabisa. Vijitu vyenyewe vinaniogopa. Teh teh teh.
Ndo maana nasubiri tu hayo matusi nione kama kutakuwa na jipya.
Subiri sasa uone watakavyofura....they are so predictable.
Muda mwingine mashabiki wa Wema huwa nawafananisha na wa Alikiba!Kwa sasa lipstick ni elfu kumi tu,zitafika mpaka elfu 5 team wema jeshi kubwa ila wanashindwa kumsupport madame wao
Ni watu walewale mkuu.Usidhani ni TOFAUTI.Muda mwingine mashabiki wa Wema huwa nawafananisha na wa Alikiba!
Ha ha ha hujui kama mashabiki wa wema wamefanya collabo na mashabiki wa kiba?Muda mwingine mashabiki wa Wema huwa nawafananisha na wa Alikiba!
Ndio maana wengi ni wapiga kelele lakini support kwa wasanii wao hakuna...Ha ha ha hujui kama mashabiki wa wema wamefanya collabo na mashabiki wa kiba?
ahaha nyani ngabu kiboko, wampeleke wapi?? ahaja
Hii ndio inaitwa kuhesabu vifaranga ktk mayai kabla hayajatotolewa