Kampuni 3 Zamtaka Mtoto wa Wema


Woooow Mr.perfect,don't you know that even bastard kids come to existence via sex and guess ts not their fault that they were born....you didn't choose to be born the way you are so,who are you to judge ??..

Hivi unajua watu wangapi wamezaliwa out of wedlock and yet they employ lazy mind and bones like you..stop the hate..you can insult and blame wema as much as you can because of her irresponsibility but doing the same to the kids who have never wronged you is totally wrong...
 
Siku Wema Atakapojitokeza na Kusema Mimba Imetoka nadhani kuna baadhi ya wanachama humu watabadili ID zao
 
Slither your ass and join the league of wild beasts.
 
Slither your ass and join the league of wild beasts.

Duhhh mbwa ukimjua jina hawezi kukusumbua...seems like wewe ni under age na kama ni MTU mzima bhasi kuna walakini so,I can't waste my good time for unhealthy arguments like this one
 
Hahaaaaa...

Nkwingwa umeyaamini maneno ya GPL?...

Hawa GPL ni wa hovyo sana...Wanaweza kuandika chochote kile kwa ajili ya kuuza gazeti...

Nakumbuka hata kipindi Zari ana mimba walikuwa wanaandika habari za namna hii...
 
Kwani wema mwenyewe kasemaje kuhusu huyo mtoto?
Kama mwenyewe hajasema watu wana uhakika gani kama habari hii ni ya kweli na si uzushi mwingine wa GPL or whatever...
 
Hahaaaaa...

Nkwingwa umeyaamini maneno ya GPL?...

Hawa GPL ni wa hovyo sana...Wanaweza kuandika chochote kile kwa ajili ya kuuza gazeti...

Nakumbuka hata kipindi Zari ana mimba walikuwa wanaandika habari za namna hii...

Hapana Nkwingwa.

Sijayaamini mazima hayo maneno ya GPL.

Najua fika kuwa hao jamaa wakati mwingine huwa si chanzo cha habari za kuaminika.

Hawana tofauti na Mediatakeout.com, Bossip.com, Daily Mirror, na wengineo.

Ila, ninachokishambulia mimi ni hilo wazo la mtoto kuwa kivutio.

Na ndiyo maana hata ukirudia kusoma mabandiko yangu yote kwenye huu uzi hakuna sehemu ambapo nimemshambulia huyo binti na huyo mwenzake.

Inabidi kusoma kwa umakini ili kuona kuwa hata sikutaja mtu mahsusi [zaidi ya kudokeza kama ni kweli Wema ana mimba au la kwa sababu hata yeye si chanzo cha kuaminika, rejea nyumba yake ya milioni 400].

Nimeshambulia tu dhana nzima ya mtoto kuwa kivutio. Mbaya zaidi, mtoto ambaye hata hajazaliwa bado.

Nalaani mtu yeyote yule anayemtumia mtoto, tena mchanga, kujinufaisha kifedha.

Naamini kuwa mtoto yeyote yule naye anastahili faragha na nafasi yake ya kuwa mtoto.

Mambo ya mtoto mchanga kuwa kivutio kwangu hayaingii akilini kabisa.
 
YUKO WAPI? WAKIKE/WAKIUME.
 
Promo za kijinga,wema tulia uzae kwanza je ukizaa fenesi? Usitake kushindana na zari kwenye kuzaa kuna kifafa,kupoteza damu au hata kufa.
Wema tulia kwanza uzae salama
Halafu kampuni hizo eti mtu ameshindwa 'kukariri' majina yake. Hizo ni kampuni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…