Bila shaka housing zako zitakua za plastic waone wazalishaji wa vifaa vya plastic kama cello na viwanda kama hivyo.
Nahisi changamoto kubwa utakayo kutananayo, je utakua na uwezo wa kuchukua mzigo mkubwa wa ku-cover cost ya hasa kitengeneza maumbo(moulds)? Usishanga kuambiwa mould peke yake milioni 10 nakuendelea hapo bado gharama ya housing zenyewe na vitu vingine
Pia waone Omar packaging
Ila kama umedhamilia toka ndani ya sakafu la moyo wako nafas ya kufanikiwa ni kubwa kuliko kushindwa
All the best Mkuu