Kampuni bora za mawakili Tanzania (Top 10)

Mahakama

New Member
Joined
Jun 11, 2016
Posts
2
Reaction score
1
Kumekuwa na kampuni nyingi sana za mawakili (Law Firm) Tanzania. Ila zifuatazo zitabaki kuwa Law firms kubwa ziku zote na zenye huduma bora Tanzania.


1. FB Attorneys – Dar Es Salaam

2. Mawalla Advocates – Arusha - Main Office / Branch – Dar Es Salaam

3. Rex Attorneys – Dar Es Salaam

4. IMMA Advocates – Dar Es salaam

5. Mkono Advocates – Dar Es salaam

6. Asyla Attorneys- Dar Es Salaam

7. FK Law Chamber – Dar Es Salaam

8. Clyde & Co LLP’s – Dar Es Salaam

9. Law Associates – Dar Es Salaam

10. Ako Law Chambers Dar Es Salaam
 
Ya akina Tundu Lissu ni ipi kati ya hizo?
Maana kila wakisimama na serikali ni lazima washinde tu!!
 
11-Lamwai & Co Advocates- Dar

12-Marando & Mnyele Co Adv-Dar

13-Nothern Law Chambers -Arusha

14-Kipoko Advocates -Kilimanjaro

15-Meleta & Ndumbaro -Songea

16-Kariwa & Co Adv- Dar es salaam
 
Habari za mjini ni kuwa posho za hao wakuu zinajumuishwa kwenye fees na mambo juuu kwa ju
 
Kesi za mashambani huhitaji wakili. Unahitaji mlozi ama prophet flani akuombee.

Kesi ngumu na mbaya zote ni za daslama na arusha.
Ndiyo maana Paw alikukataza kunywa Konyagi bapa, sasa hivi namwelewa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…