Kampuni clearing and forwarding inauzwa 26Million

Inauzwa pamoja na assets zake mali na madeni au linauzwa jina tu? Ufafanuzi tafadhali? Kuuza a giant company like that lazima taarifa zote ziwe very clear!
Clearing and Forwarding Company isiyo na wateja haiwezi kamwe kuitwa "giant company" hata kwa level ya wilaya za vijijini. Kuwa na heshima mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…