The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,806
Dunia haijabadilika, kilichobadilika ni namna ya kupata taarifa au habari, hao walioko Ubungo ndio hao walioko humu.Dunia ya leo ni yakuuliza mtu?
Nenda ubungo au ingia kwenye mitandao,makini utayapata.
Ally's, Tungis au Happy National, safari njema!Dunia haijabadilika, kilichobadilika ni namna ya kupata taarifa au habari, hao walioko Ubungo ndio hao walioko humu.
Wana ofisi nzuri sana hasa ile ya Dar lakini sio gari kabisa. Walisifiwa wakavimba kichwa, kwa sasa ni bora upande Kirikuu.Dar Luxy nilikuwa naona nyuzi humu wanamsifia.
Ally's, Tungis au Happy National, safari njema!
Bora nipande guta kuliko NajimunisaAlly's
Ukishindwa najmunisa 😀
Hata bure sipandi.Kisbo
Saa tatu na robo usku upo msamvu
DarLux hovyo sana sisi tuliondoka saa 5 badala ya saa 12 asubuhi halafu basi bovuHabari wakuu.
Nina safari ya kwenda kanda ya ziwa, Mwanza wiki ya mwisho ya mwezi huu.
Naomba kufahamu basi nzuri Luxury njia ya Dar es Salaam Mwanza ambayo ina uhakika wa kufika siku hiyo hiyo na halina huduma za kiswahili.
Naomba msinitajie Darlux maana kuna mwaka waliniharibia ratiba zangu, Mwanza tukaondoka sa 5 asubuhi.
Ahsante.
JF imejaa wahuni wa SACCOSS ya kaskaziniHii JF ya siku hizi hata haieleweki.
mtoa mada ameuliza vizur tu kutaka kujua bus lenye uhakika wa safari ya haraka.
Cha ajabu kila mtu katoa jibu lake tofauti na mwingine yaani kuna majibu 10 tofauti tofauti kitu ambacho kinamconfuse mtoa mada hata hajui ashike lipi?
Inawezekana aisee maana kuna mmoja kataja bus ambalo ndio linasemekana linaongoza kwa huduma mbovu kuliko yote sasa sijui lengo lake lilikuwa nini.JF imejaa wahuni wa SACCOSS ya kaskazini
Anzisha uzi wako kwani nani kakwambia hapa tunahitaji mahindi?,mtu anauliza basi wewe unaleta promo za mahindi ,kawaambie boda boda pale Mfaranyaki hawana kazi na wapo wengi.Je unahitaji kulima mahindi na hauna muda wa kusimamia? Au unataka upate mavuno mengi zaidi? Njoo ofisini kwetu.
Ofisi ya YAD yenye wataalamu wabobezi wa kilimo sasa inakuletea mpango wa kusimamia shughuli zote za shambani. Mkulima utatukabidhi shughuli zako pale shambani kwako sisi tutafanya kila kitu kwa utaalamu zaidi na kukukabidhi mazao yako yakiwa yamekomaa. Gharama zetu ni nafuu sana na tunakuhakikishia kwa ekari moja kuvuna mahindi zaidi ya gunia 30. Usihangaike sasa, sisi tupo kwa ajili yako, Kwa Wale ambao hawana mashamba tutakuwezesha kupata mashamba ya kukodi kwa elfu 40 tu na mashamba ya kununua kwa elfu 60 tu hata ukihitaji ekari 100 za kununua utazipata kwa bei hiyo hiyo.
Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu.
Jengo la NSSF SONGEA
Ghorofa ya 3 chumba no. 317
Simu. 0621133117