Kampuni gani bora za mabasi Dar kwenda Mwanza?

Haya tuko 2021 Dar Mwanza nani mwamba mwenye luxury 2 by 1 inayotamba?
 
Haya tuko 2021 Dar Mwanza nani mwamba mwenye luxury 2 by 1 inayotamba?
Hii route haina luxury ya 2 by 1 mambo hizo achia gari za dodoma na arusha-Dar. Huku tuna semi luxury za 2 by 2 za kutunza muda. Huku ni shughuri yenyewe ya mguu kiatu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ok currently nani ameshusha luxury bus za ukweli + huduma nzuri?

I mean the best company ni ipi?
 
Ok currently nani ameshusha luxury bus za ukweli + huduma nzuri?

I mean the best company ni ipi?
Huku kampuni hazina mambo mengi best company tuna ievaluate kwa suala la kwenda na muda tu na list ni hii Allys, Tanzanite & Dar lux, Kidia One, Zuberi (Hawa chuma zao ni mpya) . Hao wengine wakina Isamilo, Abood, Kisbo, Alfa, Phoenix ndo hufuata baada ya hilo kundi hapo juu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Frester road ways na happy nation hujawataja bado wako fresh sana tu
 
Wakuu nishaurini basi gani ni bora, nina safari ya kutoka Dar to Mwanza wiki ijayo.

Ubora naamaanisha COMFORT, SAFETY, BETTER SERVICES etc

Nitashukuru sana kwa msaada nitakaopatiwa.

Same request
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…