Wakuu, napenda sana ufugaji kwa sababu ninajua unaweza kunitoa. Nimejaribu kufuga kama 300 kutoka kampuni fulani lakini hawatagi vizuri. Wana miezi saba na zaidi kidogo lakini napata trei 4 tu kwa siku, nahisi aina ya kuku siyo nzuri. Naombeni mnijuze kuku wa kampuni gani ni wazuri au mimi nilikosea katika kufuga?
Nawakilisha
Nawakilisha