Wakuu, napenda sana ufugaji kwa sababu ninajua unaweza kunitoa. Nimejaribu kufuga kama 300 kutoka kampuni fulani lakini hawatagi vizuri. Wana miezi saba na zaidi kidogo lakini napata trei 4 tu kwa siku, nahisi aina ya kuku siyo nzuri. Naombeni mnijuze kuku wa kampuni gani ni wazuri au mimi nilikosea katika kufuga?
Nawakilisha
tudadavulie kaka ufugaji wa kitaalamu wote tunasubiri ujuzi tupate mafanikio. tuelezee kakaKatika ufugaji wa kuku kuna key factors ambazo ukikosea tu,utapata hasara sanaa;
1.Vifaranga Bora (already vaccinated with Mareks)
2.Banda Bora lenye ubora (both LX and BX)
3.Chakula bora cha kulishia
4.Best Management
Hacheni kufuga bila utaalamu,kuku wanalipa sanaa.
Tuwasiliane kwenye no 0717332652