Kampuni gani ina mabati mazuri na rangi ipi haipauki haraka

TZ-1

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
4,321
Reaction score
7,501
Hbr membr of flow.

Sasa nimeamua kujipang kuezeka kikabwela natak kutumia bati za kawaida (sio wakina alafi wala sunShare)

Wajenz / wataalamu na wazoefu naomben ushauri katk swala la mabati kuna viwand/kampun hiz ndogo za mabati ni kampun gan inabat zuri na ni rangi ipi haipauji haraka.

NB namaansh bati za bei 22000 had 26000 kwa GEJI 30 kama Superlife

Batibomba n.k

Natangulz shukran nkisubr majb yenu?
 
Bati gauge 30 sio nyepesi sana mkuu?

Unaweza kuchukua zile za kawaida lakini zenye rangi. Namaanisha hazina migongo mipana wala mbwembwe na urembo.

Alaf wana aina tofauti tofauti unaweza kuwatembelea ukapata ushauri. Majina yasikutishe sana.

Sun share (sijui kama nimepatia jina nao sio wabaya)

Sina uadui na Kiboko ila mabati yao yalikua na tabia ya kupauka mapema sana. Kama wameboresha unaweza kuwaona.

Cha msingi ukishapata ushauri hapa, jaribu kutembelea mwenyewe ujihakikishie.

Hingera na nikutakie kila la kheri mkuu.
 
Unamaanisha bati za migongo midogo za rangi?
 
Unamaansh/kushauri ntumie nyeupe tuu za (kiboko)
Bati Kawaida Utapata Tu Kiboko Epuka Bati Za Rangi Nyingi Zinapuliziwa Kienyeji Unapigwa Bei Ndefu
 
nimekukuruka sana kupata bati ya kawaida nimeangukia kwa kiboko hakuna namna aseeee
 
Tafuta Uzi wangu niliobandika jukwa hili.

Elimu kuhusu Mabati utajifunza mengi na utaepuka stress za taarifa zisizosahihi kuhusu Bati
 
Bidhaa ya bati kwa Sasa ni kisanga maana imepanda hatari na ubora kwa baadhi ya makampuni Ni changamoto
 
UVIMO tukiwa wazoefu katika maswala mazima ya ujenzi na upauaji,
Alaf na bati bomba ni makampuni yenye nafasi kubwa.

Japo unahitaji umakini sana hasa wakati wa kununua.

Rejea picha ikiwa ni nyumba tulizo kati ya 25-Sep na oct-8

Wasiliana nasi kwa

0753927572 wasap
0629361896View attachment 1972557View attachment 1972556View attachment 1972555
 
Kama fedha ipo,sio hela!kafunge mzigo South Africa,wana vifaa bora na imara kwa bei nafuu vya ujenzi.

Wana mabati na vigae vizuri,imara kwa bei ya kutupwa.
 
Kwa bati 130 na usafirisha inaweza kusimamaje
Kama fedha ipo,sio hela!kafunge mzigo South Africa,wana vifaa bora na imara kwa bei nafuu vya ujenzi.

Wana mabati na vigae vizuri,imara kwa bei ya kutupwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…