Kampuni gani wanachukua wahitimu wa 'Chemical and Processing Engneering'?

Kampuni gani wanachukua wahitimu wa 'Chemical and Processing Engneering'?

Loreen

Senior Member
Joined
Dec 24, 2011
Posts
110
Reaction score
32
habarini jamani kuna ndugu yangu amemaliza degree ya chemical and processing bado hajapata kazi kwa mwenye information za makampuni au viwanda vinavyoitaji mtu dodose jamani! asanteni!
 
habarini jamani kuna ndugu yangu amemaliza degree ya chemical and processing bado hajapata kazi kwa mwenye information za makampuni au viwanda vinavyoitaji mtu dodose jamani! asanteni!
Kuna jamaa yetu amepata ajira katika kiwanda cha Cementi Tanga.
 
Haaaaaaaaaaaaaa kumbe wewe ni FUSP aka KIDU haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nenda mtibwa
 
Itafute kampuni ya sgs mwanza na katika migodi ya geita,nyamongo na mengineo
 
kampuni za majani ya chai iringa, za bia etc! yaan mpka umemaliza chuo hujui unaenda kufanya kazi zp ofcn??
 
Oryx, SGS, Kiboko paints, Chemi and Cotex, Mantrac ni miongoni mwa makampuni yanayoajiri CPE graduates. Good luck!
 
habarini jamani kuna ndugu yangu amemaliza degree ya chemical and processing bado hajapata kazi kwa mwenye information za makampuni au viwanda vinavyoitaji mtu dodose jamani! asanteni!
TBS hukuapply? deadline ilikua tar 17. jitahidi kutembelea magazeti na mitandao tuu, mbona hizo zipo nyingi sana.
 
nili apply ndo nasubiria ila naona kimya 2!
 
hata viwanda vya azam na vifananavyo na hvyo.
 
Edit post ya mwanzo basi manake umesema ni ndugu yango. Na kwenye ajira, hata ukidanganya formulae inabidi uwe consistent la sivyo utaumbuka.
Peleka CV radar, na u-google fields za course yako. Kuwa aggressive, waambie watu what you are capable of na sio kuwauliza utawafaa vipi, sawa?
nili apply ndo nasubiria ila naona kimya 2!
 
Back
Top Bottom