Kuna jamaa yetu amepata ajira katika kiwanda cha Cementi Tanga.habarini jamani kuna ndugu yangu amemaliza degree ya chemical and processing bado hajapata kazi kwa mwenye information za makampuni au viwanda vinavyoitaji mtu dodose jamani! asanteni!
TBS hukuapply? deadline ilikua tar 17. jitahidi kutembelea magazeti na mitandao tuu, mbona hizo zipo nyingi sana.habarini jamani kuna ndugu yangu amemaliza degree ya chemical and processing bado hajapata kazi kwa mwenye information za makampuni au viwanda vinavyoitaji mtu dodose jamani! asanteni!
nili apply ndo nasubiria ila naona kimya 2!