KAMPUNI GANI YA BIMA AMBAYO HAINA USUMBUFU KTK MALIPO?

Mandison

Senior Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
191
Reaction score
110
Naomba kufahamishwa kutokana uzoefu wenu ktk makampuni ya Bima, je ni kampuni gani ambayo inalipa kwa haraka na uhakika pindi ajali inapotokea kwa chombo cha moto au nyumba imepata tatizo kulingana na risk insured?
 
siri ya bima kata kwa agent ukienda makao makuu inakua ngumu ukipata tatizo kukusikiliza ila agent akienda anapewa priority
 
bima kuhusu malipo lazima usumbuliwe kidogo kama wanachohitaji huna
ila tumia mawakala
 
siri ya bima kata kwa agent ukienda makao makuu inakua ngumu ukipata tatizo kukusikiliza ila agent akienda anapewa priority
Sasa CRDB wanao agents au matawi yao ndo yana act kama agents?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…