Habari wana jamvi? mwana jamvi mwenzenu natamani kujua kuhusu biashara ya BIMA, kama Agent au Broker, lakini kwa kuanza kua kama Agent( Wakala) natamani kujua kama kuna mtaalamu wa mambo ya BIMA anijuze kua ni kampuni gani inafaa kwa mtu anae take kua wakala, na je ulipaji wao ukoje ? na kwa sifa gani kampuni tajwa inafaa?