Kampuni gani ya kukodisha magari(car rental) bei zao ni nafuu hapa dar?

Mimi natafuta gari coasta kwa ajili ya biashara ya kukodi iwe na ac 0712877378
 
wadau natafuta mtu/kampuni ya kukodisha mafari Noah au gari nyingine yenye ukubwa wa kubeba abiria sio chini ya watano. safari ya kwenda Dodoma siku tatu tu. ni kazi ya ofisi tuwasiliane tuzungumze bei.
0715 686575
 
hiyo bei ni per hour au per day?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…