Kampuni Huru Tushirikiane

juniour12

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
407
Reaction score
375
Heshima kwenu GT na imani huku kuna watu wa kada na nafasi mbalimbali katika taasisi za umma na binafsi na hata pia wale wajasiriamali.

Sisi tupo wawili ambao tunailiki kampuni ambayo imesajiliwa Brella na ina valid documents zote ambazo kampuni inatakiwa kuwa nazo...Eg TIN,VAT,CERTIFICATE OF INCORPORATION,TRADE LICENSE.

Kampuni ina jihusisha na Printing eg. Calendar,t-shirts, diaries, kwa kifupi all promotion materials. Pia tunahusika na kusupply office and stationery materials.Pia tunafanya Branding.

Sasa basi kwa kutumbua hapa JF kuna watu ambao ndio mtaji wetu ili kuweza kupiga hatua Tuna kukaribisha tushirikiane kwa kutafuta kazi then tugawane nusu kwa nusu faida itakayo patikana.

Unaweza pitisha kazi kwenye kampuni yetu pia kwa makubaliano maalumu ambayo wote tutaridhia.

Lengo ni kampuni kupata kazi nyingi na kuzifanya kwa ustadi ulio tukuka ili tujitangaze kwa haraka...Sisi hatuna influence za kupata kazi kutokana na mazingira tuliyo tokea na kukulia.

NB.Kampuni ina ofisi na Working Capital tunacho hitaji ni ushirikiano ili wote tunufaike mleta kazi na kampuni...Naomba tuwasiliane PM kwa maswali na uthibitisho wa nilivyo andika hapa.Sizani kama ni jambo jema kuweka documents za kampuni hapa.

Shukrani....Tushirikiane kwa kusaidiana wa Kuu najua kuna watu wenye influence ya kutupatia kazi na kushirikiana nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…