Kampuni inayo saidia Ku import mzigo/Bidhaa kwa niaba ya

Kampuni inayo saidia Ku import mzigo/Bidhaa kwa niaba ya

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Wakuu huwa nasikia kuna kampuni ziko Bongo huwa zina import mzigo kwa niaba ya mtu/mteja, mwenye detail za hizo kampuni au Contact zao naomba anisadie ninazihitaji
 
mkuu,

Hiyo ndo kazi yetu.Karibu sana hapa Express chartering and shipping ltd.Tuko Samora Tower, posta mpya hapa dsm.
Zaidi ni pm tubadilishane uzoefu.
 
Back
Top Bottom