CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,872 Reaction score 9,263 Dec 27, 2012 #1 Wakuu huwa nasikia kuna kampuni ziko Bongo huwa zina import mzigo kwa niaba ya mtu/mteja, mwenye detail za hizo kampuni au Contact zao naomba anisadie ninazihitaji
Wakuu huwa nasikia kuna kampuni ziko Bongo huwa zina import mzigo kwa niaba ya mtu/mteja, mwenye detail za hizo kampuni au Contact zao naomba anisadie ninazihitaji
P peter tumaini JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 573 Reaction score 94 Jan 4, 2013 #2 mkuu, Hiyo ndo kazi yetu.Karibu sana hapa Express chartering and shipping ltd.Tuko Samora Tower, posta mpya hapa dsm. Zaidi ni pm tubadilishane uzoefu.
mkuu, Hiyo ndo kazi yetu.Karibu sana hapa Express chartering and shipping ltd.Tuko Samora Tower, posta mpya hapa dsm. Zaidi ni pm tubadilishane uzoefu.