Wanajukwaa wenzangu,
Mnamo Novemba 3, 2024 iliwekwa tarifa hapa ikisema, SONGEA: WAZIRI WA KILIMO INGILIA KATI WAKULIMA TULIPWE PESA ZETU
Kutokana na tarifa ile huyu ambaye kampuni yake inaitwa NEL LINES INTEGRATED SERVICES anayedaiwa na kile kikundi cha Ngoni Organized Farmers Group kilichopo mtaa wa Mshangano manispaa ya Songea, alichofanya nacho biashara, ameenda kwa mwanasheria wake akitaka kuombwa radhi kwenye media pamoja na kulipwa fidia ya 350,000,000 na 1,000,000 gharama ya kuandaa dokumenti hiyo ndani ya siku 14 ametaka yafanyike hayo.
Wakati kikundi bado kinamdai pesa ya mahindi yao, toka amelipa 169,000,000/= hajaongeza malipo toka mwezi wa 11, 2024. Anadaiwa 52,900,000 kutokana na kuchelewesha kutulipa.
Wakulima hawana uhakika wa uzalishaji kwa kukosa pembejeo, pia wanadaiwa mkopo benk.
Tarifa kutoka katibu wa kikundi cha NGONI ORGANIZED FARMERS GROUP - REVOCATU JOHN NJUU, 0768963043 kwa tarifa za kina.