King Loto
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,581
- 1,357
Kama title ilivyo hapo juu,
ningependa nijue ABCD..... Zenu kuhusu kampuni la ujenzi, vitu kama mafundi, changamoto zake, kuhusu mwanzo wake, namna ya kupata clients au wateja, jinsi ya kufanya vizuri sokoni na operation nyingine, kama wapo wadau wenye ABCD zake waje hapa tupeane mabofolo.
Fikira pevu na watu wenye akili kubwaaz lazima wataongea positive ila akili ndogoozi watasema kwa kucrush na kuhate people ideas....hao hatuwataki......🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫