Kampuni inayohusika na shughuli za ujenzi

King Loto

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
1,581
Reaction score
1,357
Kama title ilivyo hapo juu,

ningependa nijue ABCD..... Zenu kuhusu kampuni la ujenzi wa nyumba Kama za makazi, vitu kama mafundi, changamoto zake, kuhusu mwanzo wake, namna ya kupata clients au wateja, jinsi ya kufanya vizuri sokoni na operation nyingine, kama wapo wadau wenye ABCD zake waje hapa tupeane mabofolo.

Fikira pevu na watu wenye akili kubwaaz lazima wataongea positive ila akili ndogoozi watasema kwa kucrush na kuhate people ideas....hao hatuwataki......🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫
 
Ujenzi ni msamiati mpana ungeweka wazi ujenzi wa barabara,majengo,nk ili wadau wanaojua watupe faida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…