Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Nenda mjimwema ulizia kingo properties... Hapo pia Kuna kampuni mengine mengi tu.Habari
Nahitaji kampuni inayouza viwanja vizuri kigamboni.
Nia nikukunua kiwanja kikubwa kizuri na itapendeza zaidi kama watakuwa na utaratibu wa kulipa kidogo kidogo.
Shukrani.
Yap Properties Hawa jamaa naskia wapo poa sanaMkuu nenda properties,wanamradi mkubwa tu huko...hawnaa longo longo, unalipia kila mwezi hadi miaka 24, pia ukiona jau....wanabenk wanaingia naonmikataba,benk inalipa Kisha wewe unalipia benk.....kiwanja chako ndio dhamana.....ukimaliza tu unapewa hati ya wizara bila chenga.....wapo kariakoo, maeneo ya shule ya Benjamin mkapa. Utakuja kunishukuruuuuuuuuuu
Bei gani mkuuNilipata bahat ya kununua kiwanj kigambon Dege sqr 800 kw Mzee mmoj na hapakuw na MTU WA Kati, Dalali , wala Chawa. wala nan Niliend direct nyumbn kwake. Na anavyo vingi pale Nimenunua 2021 na nimejenga na sijaskia ngonjera yeyot. Uzur Mzee alivipima kabis viwanja vyake so haikunisumbua San nikafatilia now Nina hati ya wizara kabis. Na jiran Yang kanunua mtumish WA Bandar mama mmmoj.
Tunasubiri jibuBei gani mkuu
Naweza pata mawasiliano yake mkuuNilipata bahat ya kununua kiwanj kigambon Dege sqr 800 kw Mzee mmoj na hapakuw na MTU WA Kati, Dalali , wala Chawa. wala nan Niliend direct nyumbn kwake. Na anavyo vingi pale Nimenunua 2021 na nimejenga na sijaskia ngonjera yeyot. Uzur Mzee alivipima kabis viwanja vyake so haikunisumbua San nikafatilia now Nina hati ya wizara kabis. Na jiran Yang kanunua mtumish WA Bandar mama mmmoj.
Umenifungua mkuu... shukrani sanaTAFUTA KAMPUNI YENYE UMRI ZAIDI YA MIKA 5 UNAWEZA KUWA SALAMA.
KUNA KAMPUNI ZINAUZA VIWANJA KWA WATEJA KULIPA MALIPO YA KILA MWEZI.
KUNA KAMPUNI AMBAZO ZIMESHINDWA KUJIENDESHA NA SASA ZINA MIGOGORO ISIYOISHA MPAKA MAHAKAMANI.
NA WATU WALIFANYA MALIPO KWA AWAMU NA HAWAKUKABIDHIWA VIWANJA VYAO
MFANO KAMPUNI YA MADSON PROPERTY, OFISI ZILIKUA MLIMANI CITY TOWER GHOROFA YA 5.
KUNA KESI ENDELEVU HUKO MAHAKAMANI.